img

Maswali na majibu kuhusu bitcoin halving.

Charity Aron

Instructor

  • 26
  • 540
  • 17

Una maswali gani kuhusu bitcoin halving?

  • 25 Jul, 2023
Replies (17)
Izzy Smart

Instructor

  • 19
  • 2

Ni kwanini bitcoin halving ina affect price ya market nzima ya cryptocurrencies 

  • 25 Jul, 2023
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52

Hii ni kwa sababu asilimia kubwa ya fedha(liquidity) katika soko la sarafu digitali iko katika bitcoin, hii tunasema bitcoin iko na dominance ya zaidi 50% ya soko la sarafu digitali

  • 25 Jul, 2023
Charity Aron

Instructor

  • 26

Sababu kuu ni kua halving ya bitcoin (btc) unamaanisha usambazaji (supply) ya bitcoin kupitia uchimbaji (mining) unapungua kwa asilimia hamsini kwa mfano mwaka huu usambazaji utatoka btc 6.25 kwa kila block mpaka 3.725 kwa kila block. Hii inamaanisha kua kwa nguvu ile ile ya uchimbaji utapata btc chache kuliko mwanzoni.

Kupungua huku kwa usambazaji inaongeza uhitaji (Supply and Demand) hivyo kupelekea bei yake kupanda.

Kwa kua btc ndio coin yenye ukwasi mkubwa sana na pia ndio hazina kuu ya cryptocurrencies nyingi basi hali hii inafanya mtikisiko wa soko zima kwa ujumla.

  • 25 Jul, 2023
Yona Makyao

Student

  • 3
  • 1

Athari za bitcoin halving (bull Market) huanza kuonekana kipindi gani kabla ya bitcoin halving? 

  • 25 Jul, 2023
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52

Athari za bitcoin halving naweza zigawanya makundi mawili

1. Mwaka kabla ya halving kuna kuwa na marketing inaanza kuleta continuation na hii huwa ni kwa sababu asilimia kubwa ya watu huwa na mentality ya kuwa sasa ni muda wa kununua

So marketing huanza kustabilize na kuanza kuoanda japo huwa si kwa momentum kubwa


2. Kipindi hasa cha kuanza kuona impact ni around miezi mitatu mpaka minne baada ya halving hii huwa ni impact halisi maana hapa huwa kuna SUPPLY INAPUNGUA na PIA WATU HUWA WAKO KWENYE MKUMBO NA PRESSURE KUBWA YA KUFUKUZIA... KIPINDI HIKI BUY INDEX HUWA IKO VERY VERY STRONG 

  • 25 Jul, 2023
Izzy Smart

Instructor

  • 19
  • 0

Ni vema sana watu kuingia halving hii tukiwa na crypto assets nyingi na nadhani sio gharama kwasababu sio lazima ununue sarafu inayo fanya halving kama bitcoin kwasababu bei za sarafu nyingi zitapanda 

  • 25 Jul, 2023
anastasia kavishe

Student

  • 16
  • 10

Ni madhara gani yanaweza kutokea wakati wa Bitcoin halving.?

  • 25 Jul, 2023
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52

Madhara kama changamoto kipindi hiki watu huwa na mihemko ya kununua sarafu bila kuwaza so kuna hatari kubwa wattu kununua sarafu ambazo hazina project yenye mwendelezo, yaam project ambazo zipo subjected to RUG PULL & PUMP AND DUMP kwa sababu watu huwaza zaidi faida hivyo uelede kwenye kununua sarafu huwa unapofushwa na tamaa na mihemko 

  • 25 Jul, 2023
Charity Aron

Instructor

  • 26

Pia kipindi hiki kunakua na mabadiliko makubwa sana ya bei za cryptocurrencies (high volatility) ambayo yanafanya soko kutotabirika ndani ya muda mfupi

  • 25 Jul, 2023
Izzy Smart

Instructor

  • 19

Yes umakini unahitajika sana kwasabu ni muda ambao ma influences wengi wanao pendwa huwa wana tangaza scam projects so nivema kurely kwenye knowledge ila sio mihemko ya kufata celebrities 

  • 25 Jul, 2023
anastasia kavishe

Student

  • 16

Ooh sawa.Thank you 

So ina maanisha kwa kipindi hiki Cha halving Bora tutulie kwanza.??

  • 25 Jul, 2023
anastasia kavishe

Student

  • 16

Bora nipo DIENA now,kwa forum to nimepata majibu mengi Sana ya uelewa .Asanteni

  • 25 Jul, 2023
Charity Aron

Instructor

  • 26

Inategemea na mikakati yako (strategy) ila kipindi hichi unatakiwa kuwa na coins zako ambazo ulinunua kabla na kama utataka kuongeza basi lazima kuwa makini

  • 25 Jul, 2023
anastasia kavishe

Student

  • 16

Izzy scammers washaanza Tena unapewa na scope ya mwaka.

Kweli watu tunahitaji knowledge kuhusu haya mambo kwa kweli, narudia Tena Nashukuru DIENA ACADEMY ipo kutuelimisha.

  • 25 Jul, 2023
anastasia kavishe

Student

  • 16

Ooh sawa Charity nimekuelewa.!

  • 25 Jul, 2023
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52

Kipindi cha halving ni vizur mtu ukawa ulishasecure assets,zako although kuna solw new crypto huwa zina arise ambazo huwa zinaoanda kwa fujo unaweza zinunua but for a very short plan and risk kiasi kidogo sana maana huwa hazina uhakika mzuri wa kumaintain soko, hvo ni vizur kuwa unajua nini unachokifanya 

  • 25 Jul, 2023
anastasia kavishe

Student

  • 16

Umenijibu pia kitu nilitaka kukijua hapa kuhusu hizo new crypto🙏🏼🙏🏼

Kweli the Good Instructor anajua swali gani mtu anakuja nalo after😂🙌🏼

Asantee Sana Antony 

  • 25 Jul, 2023

Suggested Topics

cryptocurrency

MENTORSHIP

I want to know if diena academy also provide mentorship in crypto business?

  • 0
  • 371
  • 1

cryptocurrency

Bull run

Do you see the bitcoin start moving 

  • 26
  • 336
  • 2

cryptocurrency

ROAD TO 2024 HALVING

as we are so close to the 2024 bitcoin halving, which is expected to happen around the month of april or may what do you guys think of the next bull run? is it going to do better than the last, which are your better selection on crypto bellow 5dollars that you think they will do better in the next...

  • 52
  • 507
  • 20

cryptocurrency

Bitcoin Halving

Are we to expect Bitcoin Halving by next year?. As I can see the market is going pretty well. What are your suggestions shall I buy more coins

  • 2
  • 353
  • 2

cryptocurrency

ALTCOINS PRICE VS BITCOIN PRICE

How does the price movement of Bitcoin affect the prices of altcoins in the cryptocurrency market?

  • 19
  • 313
  • 1

cryptocurrency

CRYPTO ANALYSIS

we have several statical website that provide details about available list of cryptos (token and coins), looking at the famous ones like coinmarkecap, provides a list of more than 26,000cryptos while coingecko provides more than 9800cryptos, but the market capitilization is all 1.2+ trillions usd for today, whats your take in this contradiction?

  • 52
  • 457
  • 44

Community Blog Articles

img
crytocurrency

President Trump’s Pro-Crypto Vision: A Blueprint f...

Antony Mlelwa / 6 Nov, 2024

With President Trump back in office, a new chapter in U.S. cryptocurrency and blockchain policy has begun. His administration promises bold changes to position the United States as a global leader...

img
crytocurrency

Kujenga Sarafu ya Kidijitali Yenye Utulivu: Uchamb...

Antony Mlelwa / 26 Oct, 2024



Katika ulimwengu wa sarafu za kidijitali, kuunda sarafu inayoweza kudumu kwa muda mrefu bila kupoteza matumizi yake ni muhimu. Sarafu yenye utulivu huvutia wawekezaj...