img

INKY WHITEPAPER

ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52
  • 610
  • 32

Inky token ni moja ya project ambazo ziko na future kubwa kutokana na mlolongo wa ecosystem yake,

ukiangalia

-community engagement factors

-tokenomics yake

-technology behind the project

na ni moja kati ya project ambazo zimejengwa kwenye mtambuka wa blockchain kwa maana ecosystem yake ina nafasi ya kuongeza huduma zingine zinazotegemea inky token na inkryptus wallet hii kufanya ecosystem yake kuwa imara zaidi, nini mtazamo wako kuhusu hili, swali na kuhusu project zingine za crypto na blockchain kwa ujumla....

  • 13 Jan, 2024
Replies (32)
Izzy Smart

Instructor

  • 19
  • 8

Naona wazi inky ikifika mbali kwasabau usability yake inakua kwasababu ya uwepo wa projects mbali mbali ambazo zitaongeza usability na community ambayo ita ongeza demand ya inky


Am here for a long run πŸ’ͺπŸš€πŸš€

  • 13 Jan, 2024
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52

naam, we are expecting more things from developers team, with where we started mpaka tulipofika unaweza kuona kabisa they are working on their talk,

ni kitu kimedrive sana kuwa interested na hii project na ukiangalia whitepaper na roadmap yake it real shows us a great vision

  • 13 Jan, 2024
Japhet Mwandemo

Student

  • 6

Binafsi kwa Muda ambao nimefunza na Kufuatilia About Inky token kiukweli Hii project itatufikisha mbali ,Am here to Stay ,Am here To commit,Am here Persist ✍️✍️✍️✍️✍️✍️

  • 13 Jan, 2024
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52

kwa msisitizo kabisa hahaha

  • 13 Jan, 2024
Japhet Mwandemo

Student

  • 6

Naamini Kupitia DIENA ACADEMY, kupitia Zoom meetings, Kupitia Walimu wenye uzoefu,na Mafunzo ya Kila siku Watu tutaendelea Kuielewa vizuri Inky,Watu tutaendelea kustake na kustake na Kuipandisha Inky mpaka MAWINGUNIπŸŒ„πŸŒ„πŸŒ„πŸŒ„πŸŒ„πŸŒ„πŸŒ„πŸŒ„

  • 13 Jan, 2024
Arnold Vincent Kallape

Student

  • 1

Mr.. ni kwanini,  Kuna wakati waliweka option ya kuweza kuwithdraw...kwenda Bank...Ile profit tunapata.. sasa mbona waliondoa Ile options?

  • 13 Jan, 2024
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52

naam TVL (total value locked) ni moja ya health indicator ya project

  • 13 Jan, 2024
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52

hakukuwa na option ya kuepeleka bank, na haijawah kuwepo ila kwa baadhi ya nchi ambazo visa card na mastercard zinaruhusu online transactions inkryptus waliingia pertnership na SIMPLEX ili kurahisisha upatikanaji wa usdt but ni kununua tu sio withdraw

  • 13 Jan, 2024
Japhet Mwandemo

Student

  • 6

Yes yes Brother

Nimeweka Msisitizo kabisa Maana Kuna watu Bado hawashtuka Bado wamelala hawajajua utamu wa Inky token,Natamani watu wote Waamke waijue Hii project!

  • 13 Jan, 2024
Charity Aron

Instructor

  • 26
  • 2

Baada ya kusikiliza uchambuzi wa inky token ulioufanya kwenye Zoom meeting. 

Mimi naona token hii imekuja na teknolojia mbadala itakayoipa matumizi mazuri sana

  • 13 Jan, 2024
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52

definetly power ya inky token kuzingatia platform yake ya inkryptus iko na new venture ya hyfi ambayo inaongeza urahisi wa adoption kwa watu hata wasio na uzoefu na kiwanda hiki, ni project ambayo ni rafiki kwa watumiaji wengi

  • 13 Jan, 2024
Japhet Mwandemo

Student

  • 6

Yes INKRYPTUS WALLET Ni Rahisi kutumia kwa mtu yeyote,,Haina complications kwenye kuitumia,hii itasaidia kupata Watumiaji wengi na Kuifanya Inky token Ipae To the Mooon ✍️✍️✍️

  • 13 Jan, 2024
Izzy Smart

Instructor

  • 19
  • 1

Especially namna ambayo inky project ina focus kuongeza value ya inky token coz winnings za lottery zita kua na 30% ambazo zitaenda kuburn tokens hii itapunguza wingi wa token na kusababisha scarcity which will raise the token value ...


This is just greatπŸ‘

  • 13 Jan, 2024
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52

definetly moja kati ya njia nzuri sana za kufanya deflation

  • 13 Jan, 2024
Izzy Smart

Instructor

  • 19
  • 3


The lottery syestem how it grows the scarcity of inky by burning 


  • 13 Jan, 2024
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52

i also love kile kipengele cha kuwa na hard caop kwenye emission na pia kwenye total amount of inky kwenye circulation,

nimependa zaidi supply ya inky inaenda through watu walio stake which makes them to have a reason to be part of the project,

kulipa watu interest kupitia token mpya za protocal kama njia pekee ya kuingiza token sokoni inaonesha ni namna gani hii ni project ya watu

  • 13 Jan, 2024
Charity Aron

Instructor

  • 26

Hii lottery italeta matumizi makaubwa ambayo itaongeza manufaa kwa sisi watumiaji wa wallet

  • 13 Jan, 2024
Japhet Mwandemo

Student

  • 6

Yes kaka 

Lottery na Huduma zingine ambazo zitaongezwa zitapanua WiGo mpana kwa Watumiaji,mfano Students wanapenda sana Games and lottery so hii itaongeza Matumiaji wa INKRYPTUS kwa Kasi Sanaa!

  • 13 Jan, 2024
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52
  • 1

ni vizur mtu kama anaweza kusoma whitepeper akapitia kupitia link hii https://www.inkryptus.com/whitepaper

au kama bado basi unaweza wasialiana na moja ya mainstructors ukasaidiwa kujua maana ya maelezo yaliyo kwenye whitepaper hii

  • 13 Jan, 2024
Ben Yawa

Student

  • 33

Ahsante

  • 13 Jan, 2024
allen shoo

Student

  • 2
  • 3

Ink token ni moja ya token ambayo inakua kwa kasi sana kutokana  na matumiz ya watu wengi hasa wanao nunua hivyo nadhan ni Muda mzuri wa kila mtu kupata madarasa kupitia diena ili mtu aweze kua na wigo Mpana wa kuelewa  vzr ink token maana maharifa ufungua ufahamu wa mtu vzr hivyo Learn more and more πŸ™

  • 13 Jan, 2024
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52

kwa kifupi ni learn with diena and eran with inkryptus

  • 13 Jan, 2024
anastasia kavishe

Student

  • 16

πŸ’―πŸ’―

  • 13 Jan, 2024
Japhet Mwandemo

Student

  • 6

Yes DIENA inatusaidia kuelewa na kurahisisha namna ya Kuifanya vizuri INKRYPTUS...


Let's Learn with DIENA ACADEMY and EARN WITH INKRYPTUS πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅

  • 13 Jan, 2024
anastasia kavishe

Student

  • 16
  • 5

Kwa namna inky token inaendelea, natamani watu washtuke sahiii na wafanye maamuzi mazuri ya ku stake mda huu ambapo bei inashikika,Kuna siku tutakuja kuwapa pole watu huku watakuwa wamechelewa.

  • 13 Jan, 2024
allen shoo

Student

  • 2

Ni kweli kabisa watu inatakiwa wajifunze kuspot fursa hasa zikiwa changa embu fikiria watu walionunua Bitcoin ikiwa dolar moja leo hii wapo mbali sana ongeza maharifa kwa kujifunza na kufatilia kwa kina .

  • 13 Jan, 2024
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52

umeiva umeiva crypto queen, secure more assets when they are still cheap

  • 13 Jan, 2024
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52

definetly right brother

  • 13 Jan, 2024
Charity Aron

Instructor

  • 26

Hii ni kweli. 

Project yoyote ni muhimu sana kama utaweza kuwahi na kufanya investment nzuri

  • 13 Jan, 2024
anastasia kavishe

Student

  • 16

πŸ’―πŸ’―

  • 13 Jan, 2024
Charity Aron

Instructor

  • 26
  • 0

Ukikaa ukapata muda na ukafanya financial analysis ya hii coin utagundua kabisa pale hii coin ikiingia kwenye mainstream na ikapata the recognition it deserves maisha ya watu yatabadikika sana.

Ni swala la muda tu.

  • 13 Jan, 2024
Ben Yawa

Student

  • 33
  • 0

Ahsante kwa mafunzo mazuri 

  • 13 Jan, 2024

Suggested Topics

cryptocurrency

MENTORSHIP

I want to know if diena academy also provide mentorship in crypto business?

  • 0
  • 372
  • 1

cryptocurrency

Bull run

Do you see the bitcoin start moving 

  • 26
  • 337
  • 2

cryptocurrency

ROAD TO 2024 HALVING

as we are so close to the 2024 bitcoin halving, which is expected to happen around the month of april or may what do you guys think of the next bull run? is it going to do better than the last, which are your better selection on crypto bellow 5dollars that you think they will do better in the next...

  • 52
  • 507
  • 20

cryptocurrency

Bitcoin Halving

Are we to expect Bitcoin Halving by next year?. As I can see the market is going pretty well. What are your suggestions shall I buy more coins

  • 2
  • 354
  • 2

cryptocurrency

ALTCOINS PRICE VS BITCOIN PRICE

How does the price movement of Bitcoin affect the prices of altcoins in the cryptocurrency market?

  • 19
  • 314
  • 1

cryptocurrency

CRYPTO ANALYSIS

we have several statical website that provide details about available list of cryptos (token and coins), looking at the famous ones like coinmarkecap, provides a list of more than 26,000cryptos while coingecko provides more than 9800cryptos, but the market capitilization is all 1.2+ trillions usd for today, whats your take in this contradiction?

  • 52
  • 458
  • 44

Community Blog Articles

img
crytocurrency

President Trump’s Pro-Crypto Vision: A Blueprint f...

Antony Mlelwa / 6 Nov, 2024

With President Trump back in office, a new chapter in U.S. cryptocurrency and blockchain policy has begun. His administration promises bold changes to position the United States as a global leader...

img
crytocurrency

Kujenga Sarafu ya Kidijitali Yenye Utulivu: Uchamb...

Antony Mlelwa / 26 Oct, 2024



Katika ulimwengu wa sarafu za kidijitali, kuunda sarafu inayoweza kudumu kwa muda mrefu bila kupoteza matumizi yake ni muhimu. Sarafu yenye utulivu huvutia wawekezaj...