Your experience on this site will be improved by allowing cookies
Instructor
Unavyoifahamu forex je unadhani ni vitu gani muhimu kuvifanya au kuvijua ili ufanikiwe?
Instructor
Nikiwa mgeni kabisa katika ulimwrngu wa forex ningependa kujifunza mengi sana ila nacho amini kitu chakwanza kabisa ni kujifunza ujue unacho kifanya
Instructor
Kweli ufahamu wa biashara utakusaidia sana kuielewa biashara hii. Swala hili linaangusha wengi sana maana wamekua wakipata elimu isiyo kamili inayopelekea kupoteza sana pesa
Student
Exactly π―
Team starters πͺ
Instructor
Natakubaliana na Mr @izzy smart kwa mimi nina experience ndogo ya kufanya forex lqkni hakuna kitu muhimu kujua unachokifanya kwanza, forex ni moja ya biashara zenye mihemko mingi sana mtandao I am azo kwa asilimia kubwa ni mislead, hvo mtu asipotoa muda wake kupata maarifa kwanza kuna nafasi kubwa sana ya yeye kutooona fursa halisi yenye MWENDELEZO katika kumaintain engagement yake kwenye forex
Instructor
Ni kweli kiongozi. Watu wengi hata mimi nikiwa mmoja wapo niliingia kwenye biashara hii ya forex kwa mihemko na niliishia kula za mbavu tu...
Instructor
Hahaha haha ππππ kijana ulikuwa za mbavu
Student
πππ
Student
cha muhimu zaidi ni kujua namna ya ku manage risk na ku master emotions So that Mtaji kuendelea kuwepo Na kutengeneza profit
Instructor
Kweli kabisa.
Ukitaka kufanikiwa kwa kweli inabidi udumu kwenye biashara kwa muda ili upate uzoefuπ π
Instructor
Yah ni kweli @emma japo kumanage risk na kuzuia emotions Inakuja kama sehemu ya mwisho kwenye mentorship baada ya kupata proper education ya kuijua industry
Instructor
Yes elimu ni 1st
Student
Sawa madam
Instructor
Pia kuna swala la broker ambalo watu wengi hawaliangalii.
Ukiwa na broker mzuri mwenye spread ndogo na sio mjanjamjanja unakua na nafasi nzuri zaidi ya mafanikio.
Student
Ili ufaulu kwenye forex lazima uwe na ujuzi wa kutosha. Pasi na hiyo utakua kafara kwenye soko la forex
Student
Pili unahitaji mwongozo na malezi (mentorship) ya mkufunzi
Student
Tatu Ili ufaulu kwenye forex unafaa kuvumbua strategy ya kwako, kila mmoja wetu ana kipawa tofauti, kwenye forex pia, whatever works for others might not work for you
Instructor
Utakua unalipa ada za watoto wa brokers ππππππ
Student
Usiwe na pupa. Fanya forex iwe kama mchezo au hobby. Usiweke tamaa
Instructor
Kwa kweli hii sikuwahi ichukulia serious. Kwani umuhimu wake ni mkubwa kiasi gani naomba msaada hapa
Instructor
Hahaha asante sana my brother Ben list out zako zinatosha mwanga sana kwa mtu anayetaka kujua forex, nimependa umesema tuache tamaa and sio lazima forex ifanye kazi kwa kila mtu as ni kipawa kinahitajika pia ππππ
Instructor
Hapo sasa ndipo napopata amani kwasababu kunawatu wanaamini kila kitu kinawezekana kwasababu flani kuweza mm naona nibora mtu ujifunze then ujaribu kwa kiasi fulani then ukiona huwezi fanya biashara nyingine kulimo kuingia all in while huwezi handle the pressure
Thanks ben for that information
Instructor
Aaah π₯²π₯²π₯²
Instructor
Yaaap... Kusoma na kuelewa ni moja ila suala la kuexcel kwenye implication hiyo ni namba 2...lazima mtu ujue ni wapi uko vizur zaidi ndio dedicate conscious yako hapo
Student
Thatβs right brother
Instructor
πππ Kijana tumepigwa na butwaaπ @charity
Student
Lastly but not least, forex is risky business. Just like the other businesses. However, the risk is inversely proportional to your level of skill. The more skilled you are the less risky the forex market becomes for you. The lesser the risk, the higher your chances of making profit. And so the opposite is true
Instructor
Hilo nalo neno zuri
Instructor
Sanaaaaππππ
Student
Eeeh kumbeee
Am truly having a long way to go.
Gladly DIENA is hereππΌ
Instructor
Mr. Ben ubarikiwe kwa mwanga huu.
Asante sana
Instructor
And nakitu chaku add apo never avange your loss immediately πππ
Instructor
Unamaanisha nn?
Instructor
Usifanye revange trade @charity
Instructor
Ahaaa...
Sawa hii ni kweli kabisa ukiongezea na kutokuongeza trades ukiwa kwenye hasara
Antony Mlelwa / 6 Nov, 2024
With President Trump back in office, a new chapter in U.S. cryptocurrency and blockchain policy has begun. His administration promises bold changes to position the United States as a global leader...
Antony Mlelwa / 26 Oct, 2024
Your experience on this site will be improved by allowing cookies