img

BLOCKCHAIN EVOLUTION

Izzy Smart

Instructor

  • 19
  • 396
  • 3

Kama tunavojua Blockchain imekua ni open source code na tumeweza ona advancement mbalimbali za Blockchain kutokana na amendment ambazo zinafanyika kama kwenye etherium kuongezeka kwa smart contracts ambazo kwenye Blockchain ya bitcoin hazikuwepo kumeweza toa fursa mbalimbali kama staking yield farming na nyinginezo 


Nini mtazamo wako kwenye uwezo wa Blockchain kuwa open source code kwenye nyanja mbalimbali ambazo tunge penda teknolojia hii izifike je.? Tutaweza ona Blockchain ina gusa kila idara ..?

  • 5 Jul, 2023
Replies (3)
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52
  • 0

kabisa blockchain ndio next revolution ya kumanage operation za maisha katika category tofauti tofauti including finace, data management, communication na mengi maana ukiisoma vizuri inafit kila sehemu

  • 5 Jul, 2023
Ben Yawa

Student

  • 33
  • 1

Naamini blockchain inafaa kwa kila idara, whatever institution that employs data

  • 5 Jul, 2023
ANTONY Mlelwa

Instructor

  • 52

100%

finance...crypto

communication...metaverse

internet web 3.0

lifestyle NFTs

data management ...supply chain/oracles

kwa namna nyingi sana blockchain inaweza kutumika

  • 5 Jul, 2023

Suggested Topics

blockchain

What is defi

What is The mening of defi

  • 19
  • 425
  • 1

Community Blog Articles

img
Development

Navigating the Path to a Cashless Tanzania: Presid...

Antony Mlelwa / 4 Feb, 2025

During the National Law Day event on February 3rd, 2025, in Dodoma, President Samia Suluhu Hassan highlighted various cri...

img
Development

Navigating the Path to a Cashless Tanzania: Presid...

Antony Mlelwa / 4 Feb, 2025

During the National Law Day event on February 3rd, 2025, in Dodoma, President Samia Suluhu Hassan highlighted various cri...