Your experience on this site will be improved by allowing cookies
Instructor
What is The mening of defi
blockchain
Kama tunavojua Blockchain imekua ni open source code na tumeweza ona advancement mbalimbali za Blockchain kutokana na amendment ambazo zinafanyika kama kwenye etherium kuongezeka kwa smart contracts ambazo kwenye Blockchain ya bitcoin hazikuwepo kumeweza toa fursa mbalimbali kama staking yield farming na nyinginezo Nini mtazamo wako kwenye uwezo wa Blockchain kuwa open source code kwenye nyanja mbalimbali ambazo tunge penda teknolojia...
With President Trump back in office, a new chapter in U.S. cryptocurrency and blockchain policy has begun. His administration promises bold changes to position the United States as a global leader...